
Hadith #397
Swahili (Kiswahili)Watu wa aina tatu siku ya Qiyama Allah Hataongea nao, wala kuwataharisha, na wala Hatawaangalia kwa jicho la Rehema, na hao watapewa adhabu iliyo kali iumizayo: mzinifu mzee, kiongozi muongo, na maskini mwenye kiburi.
Reference: صحيح مسلم، كتاب الإيمان، باب بيان غلظ تحريم...إلخ، الحدیث 107