
Hadith #238
Swahili (Kiswahili)Ukilinganisha na ahera, maisha ya ulimwengu huu nimafupi mno mfano wa mtu anayetia kidole chake baharini halafuakitazame ni kiasi gani cha maji kilichobaki katika kidole.
Reference: جامع الترمذي، أبواب الزهد، باب ما جاء في هوان الدنيا على الله، الحدیث 2323