Hadith #1442Hadith #1442

Hadith #1442

Swahili (Kiswahili)

Uingiapo mwaka mpya au mwezi mpya, Masahaba hufundishana Dua hii : (Tafsiri) : Ewe Allah Mtukufu! Ijaalie iingie kwetu kwa Amani na Imani, kwa usalama na Uislam, kwa Ridhaa ya Mwingi wa Rehema na Kinga dhidi ya shetani.

Reference: المعجم الأوسط للطبراني، باب الميم، من اسمه محمد، الحديث 6241

Available in Other Languages