Hadith #110Hadith #110

Hadith #110

Swahili (Kiswahili)

Ubora wa mwanachuoni kwa mwenye kufanya ibada (asiye mwanachuoni ) ni kama ubora wangu kwa aliye chini miongoni mwenu.

Reference: جامع الترمذي، کتاب العلم، باب ما جاء في فضل الفقه، الحدیث 2685

Available in Other Languages