Hadith #384Hadith #384

Hadith #384

Swahili (Kiswahili)

Si halali kwa mwanamke, mwenye kuwa na Imani juu ya Allah na siku ya mahesabu (Qiyama) kusafiri masafa ya siku na usiku moja bila ya kufuatana na mahram pamoja nae.

Reference: صحيح البخاري، أبواب تقصير الصلاة، ‌‌باب في كم يقصر الصلاة، الحدیث 1088

Available in Other Languages