Hadith #174Hadith #174

Hadith #174

Swahili (Kiswahili)

Pindi (siku) kumi za mwisho (za mwezi wa Ramadhan) zinapoingia, basi Mtume hukesha usiku (katika ibada) na huwaamsha wana familia pia, na akifanya kwa juhudi zote na akiukaza mkanda.

Reference: صحيح مسلم، کتاب الطهارة، باب الصلاة الخمس۔۔۔الخ، الحدیث 233

Available in Other Languages