Hadith #95Hadith #95

Hadith #95

Swahili (Kiswahili)

Mwenye kuunga (undugu) si yule mwenye kulipa (wema aliofanyiwa), lakini mwenye kuunga (kwa hakika) ni yule ambaye ukikatwa undugu wake huunga.

Reference: صحيح البخاري، كتاب الأدب، باب ليس الواصل بالمكافئ، الحدیث 5991

Available in Other Languages