Hadith #15Hadith #15

Hadith #15

Swahili (Kiswahili)

Mwenye kushikamana na Sunnah (mwenendo wangu) zangu wakati wa ufisadi katika ummah wangu, basi atapata thawabu ya mashahidi (wenye kuuawa kwenye njia ya Allah) 100.

Reference: (مشكاۃ المصابيح، كتاب الإیمان، باب الاعتصام، الحدیث 176)

Available in Other Languages