
Hadith #155
Swahili (Kiswahili)Mwenye kuridhia juu ya Allah kuwa ndiye Mola, Uislam kuwa Dini (ya haki) na Muhammad (Rehema na Amani ziwe juu yake) kuwa Mtume, basi Pepo imekuwa wajib juu yake.
Reference: صحيح مسلم، كتاب الإمارة، باب بيان ما أعده الله تعالى للمجاهد۔۔۔الخ، الحدیث 1884