
Hadith #82
Swahili (Kiswahili)Mwenye kupenda kwa ajili ya Allah, akachukia kwa ajili ya Allah, akatoa kwa ajili ya Allah na akanyima kwa ajili ya Allah, basi amekamilisha imani yake.
Reference: سنن أبي داود، كتاب السنة، باب الدليل على زيادة الإيمان ونقصانه، الحدیث 4681