
Hadith #237
Swahili (Kiswahili)Mwenye kumuomba Allah kifo cha shahidi (kuuawa katika njia ya Allah), basi Allah atamuinua katika daraja ya mashahidi, hata kama atafariki kitandani mwake.
Reference: صحیح مسلم ،كتاب الإمارۃ، باب استحباب طلب الشهادة في سبيل الله، الحدیث 1909