
Hadith #301
Swahili (Kiswahili)Mwenye kumpa muda (zaidi) au kumpunguzia deni mdaiwa wake, basi siku ya Qiyama Allah Atamjaalia kivuli chini ya Arshi Yake, siku ambamo hakutakuwa na kivuli kingine chochote zaidi ya hiyo.
Reference: جامع الترمذي، أبواب البيوع، باب ما جاء في إنظار المعسر والرفق به، الحدیث 1306