
Hadith #383
Swahili (Kiswahili)Mwenye kukutana na Allah katika hali ya kuwa hakumshirikisha Allah, ataingia Peponi, na mwenye kukutana na Allah katika hali ya kuwa alimshirikisha Allah, ataingia motoni.
Reference: صحيح مسلم، كتاب الايمان، باب من مات لا يشرك بالله...إلخ، الحدیث 93