
Hadith #390
Swahili (Kiswahili)Mwenye kujizuia na hasira yake hali ya kuwa ana uwezo wa kutekeleza (kwa hasira zake), Allah Atamnadi siku ya Qiyama mbele ya viumbe vyote na atampa mamlaka ya kumchagua mwanamke yeyote mzuri amtakae (katika wanawake wa Peponi).
Reference: سنن أبي داود، كتاب الأدب، باب من كظم غيظا، الحدیث 4777