
Hadith #280
Swahili (Kiswahili)Mwenye kuhiji kutaka Radhi za Allah, kisha akajiepusha na maneno machafu na vitendo viovu, basi atarudi katika hali ya kusamehewa (madhambi) kama siku mama yake alimvyomzaa.
Reference: صحيح البخاري، كتاب الحج، باب فضل الحج المبرور، الحدیث 1521