
Hadith #169
Swahili (Kiswahili)Mwenye kufunga siku moja kwenye njia ya Allah, Allah Ataiweka handaki baina yake na moto wa jahannam Sawa na upana wa mbingu na ardhi.
Reference: جامع الترمذي، أبواب فضائل الجهاد، باب ما جاء في فضل الصوم في سبيل الله، الحدیث 1624