
Hadith #184
Swahili (Kiswahili)Mwenye kuacha mavazi (ya kifakhari) ikiwa ni unyenyekevu kwa ajili ya Allah - Hali ya kuwa uwezo wa kuvinunua anao - basi siku ya Qiyama Allah Atamuita mbele za watu na kumuambia achague vazi la imani analotaka kuvaa.
Reference: جامع الترمذي، أبواب صفة القيامة والرقائق والورع، باب النساء کله، الحدیث 2481