
Hadith #363
Swahili (Kiswahili)Muogopeni Allah popote mlipo, na ikiwa mkatenda ovu, basi tendeni mema baada ya hapo, kwani hiyo itafuta (ovu), na ishini na watu kwa tabia njema.
Reference: جامع الترمذي، أبواب البر والصلة، باب ما جاء في معاشرة الناس، الحدیث 1987