
Hadith #73
Swahili (Kiswahili)Msiwatukane Masahaba wangu. Miongoni mwenu akitoa Sadaqa ya dhahabu sawa na Mlima Uhud, hamtofikia kibaba cha mmoja wao bali hata nusu yake.
Reference: صحيح البخاري، كتاب أصحاب النبي ﷺ، باب قول النبي لو كنت متخذا خليلا، الحدیث 3673