Hadith #197Hadith #197

Hadith #197

Swahili (Kiswahili)

Mnapoona (kuandama) mwezi wa Dhul Hijjah (Mfungo Tatu) na akataka mmoja wenu kuchinja, basi ajizuie (kunyoa) nywele na (kukata) kucha.

Reference: صحیح مسلم، كتاب الأضاحي، باب نهي من دخل عليه عشر ذي الحجة۔۔۔إلخ، الحدیث 1977

Available in Other Languages