Hadith #177Hadith #177

Hadith #177

Swahili (Kiswahili)

Mjumbe wa Allah alikuwa akijitahidi sana (kufanya ibada kwa wingi) siku kumi za mwisho za mwezi Ramadhan kuliko siku zingine zote.

Reference: صحيح مسلم, كتاب الاعتكاف، باب الاجتهاد في العشر الأواخر۔۔۔الخ، الحدیث 1175

Available in Other Languages