
Hadith #367
Swahili (Kiswahili)Mja analitamka neno ila halizingatii, kwa sababu yake, anajikuta yumo kwenye shimo la motoni, ambayo masafa yeke ni marefu kuliko yale kati ya mashariki na magharibi.
Reference: صحيح مسلم، كتاب الزهد والرقائق، باب التكلم بالكلمة يهوي بها في النار، الحديث 2988