
Hadith #122
Swahili (Kiswahili)Mitume hawajaacha dinar wala dirham (mali) kama mirathi bali wameacha elimu kama mirathi, hivyo mwenye kuichukua (hiyo elimu) basi kaambulia hisa kubwa.
Reference: سنن ابن ماجه، كتاب العلم، باب فضل العلماء، الحديث 223

Mitume hawajaacha dinar wala dirham (mali) kama mirathi bali wameacha elimu kama mirathi, hivyo mwenye kuichukua (hiyo elimu) basi kaambulia hisa kubwa.
Reference: سنن ابن ماجه، كتاب العلم، باب فضل العلماء، الحديث 223