
Hadith #231
Swahili (Kiswahili)Mitihani huwa inamshukia Muumini mwanamme na Muumini mwanamke juu ya nafsi zao, watoto wao na mali zao hadi watakapokutana na Mola wao katika hali ya kuwa hawana makosa.
Reference: جامع الترمذي، أبواب الزهد، باب ما جاء في الصبر على البلاء، الحدیث 2399