Hadith #26Hadith #26

Hadith #26

Swahili (Kiswahili)

Miongoni mwa watu atakaekuwa karibu nami siku ya kiyama ni mwenye kunisalia (kunitakia Rahma) kwa wingi zaidi.

Reference: جامع الترمذي، أبواب الوتر، باب ما جاء في فضل الصلاة على النبي ﷺ، الحديث 484

Available in Other Languages