Hadith #152
Swahili (Kiswahili)Miongoni mwa madhambi makubwa ni: kumshirikisha Allah, kuwaasi wazazi wawili, kumuua mtu bila ya hatia na kula kiapo cha uongo.
Reference: صحيح البخاري، كتاب الأيمان والنذور، باب اليمين الغموس، الحدیث 6675

Miongoni mwa madhambi makubwa ni: kumshirikisha Allah, kuwaasi wazazi wawili, kumuua mtu bila ya hatia na kula kiapo cha uongo.
Reference: صحيح البخاري، كتاب الأيمان والنذور، باب اليمين الغموس، الحدیث 6675