Hadith #405
Swahili (Kiswahili)Mambo matano yatokanayo na tabia asili: jando, kunyoa sehemu za siri, kupunguza sharubu, kukata kucha na kunyoa nywele za kwapa.
Reference: صحیح مسلم، كتاب الطهارة، باب خصال الفطرة، الحدیث 257

Mambo matano yatokanayo na tabia asili: jando, kunyoa sehemu za siri, kupunguza sharubu, kukata kucha na kunyoa nywele za kwapa.
Reference: صحیح مسلم، كتاب الطهارة، باب خصال الفطرة، الحدیث 257