
Hadith #91
Swahili (Kiswahili)Macho mawili hayataguswa na moto wa jahannam; moja ni yenye kutoa chozi kwa hofu ya Allah na ya pili ni yenye kukaa macho ikilinda kwenye njia ya Allah.
Reference: جامع الترمذي، أبواب فضائل الجهاد، باب ما جاء في فضل الحرس في سبيل الله، الحدیث 1639