
Hadith #377
Swahili (Kiswahili)Lau mngemtegemea Allah kama ilivyo haki; mngeruzukiwa kama anavyoruzukiwa ndege, ambao hutoka na njaa asubuhi ila jioni hurejea hali ya kuwa wameshiba.
Reference: جامع الترمذي، أبواب الزهد، باب في التوكل على الله، الحدیث 2344