
Hadith #348
Swahili (Kiswahili)Lau kama binadamu angemiliki bonde la dhahabu, basi angetamani awe na mabonde mawili, na hakuna chenye kujaza mdomo wake zaidi ya mchanga, na Allah Hukubali Toba ya mwenye kutubu.
Reference: صحيح البخاري، كتاب الرقاق، باب ما يتقى من فتنة المال...إلخ، الحدیث 6439