
Hadith #244
Swahili (Kiswahili)Lau kama Muislam angefahamu adhabu iliyopo kwa Allah, basi hakuna mwenye kutaraji Pepo Yake. Na kama kafiri angefahamu Rehema ya Allah, basi hakuna wa kukata tamaa kutaraji Pepo Yake.
Reference: صحيح مسلم، كتاب التوبة، باب في سعة رحمة الله تعالى وأنها سبقت غضبه، الحدیث 2755