Hadith #347Hadith #347

Hadith #347

Swahili (Kiswahili)

(Kwa mambo ya kidunia) waangalieni walio chini yenu, na wala msiwaangalie walio juu yenu, kwani hii (kuwaangalia walio juu yenu) itawafanya msizithamini neema za Allah.

Reference: صحيح مسلم، كتاب الزهد والرقائق، باب الدنيا سجن المؤمن وجنة الكافر، الحدیث 2963

Available in Other Languages