
Hadith #178
Swahili (Kiswahili)Hakimu anapojitahidi na kisha akatoa hukumu sahihi, atapata thawabu mbili, na akihukumu baada ya jitihada, akakosea atapata thawabu moja.
Reference: صحيح البخاري، كتاب الاعتصام بالكتاب والسنة، باب أجر الحاكم إذا اجتهد فأصاب أو أخطأ، الحدیث 7352