Hadith #267
Swahili (Kiswahili)Hakika mwenye kuamini, kutokana na tabia yake njema, anaambulia daraja ya mwenye kufunga (swaum) mchana na kukesha usiku kwenye ibada.
Reference: سنن أبي داود، كتاب الأدب، باب في حسن الخلق، الحدیث 4798

Hakika mwenye kuamini, kutokana na tabia yake njema, anaambulia daraja ya mwenye kufunga (swaum) mchana na kukesha usiku kwenye ibada.
Reference: سنن أبي داود، كتاب الأدب، باب في حسن الخلق، الحدیث 4798