
Hadith #245
Swahili (Kiswahili)Hakika hatua ya kwanza ya akhera ni kaburi, ikiwa maiti atafanikiwa (katika hatua hii) basi yatakayofuata yatakuwa myepesi zaidi. Na ikiwa maiti hatafanikiwa (katika hatua hii) basi yatakayofuata yatakuwa magumu zaidi.
Reference: سنن ابن ماجه، كتاب الزهد، باب ذكر القبر والبلى، الحدیث 4267