Hadith #251Hadith #251

Hadith #251

Swahili (Kiswahili)

Hakika Peponi Kuna daraja Mia moja (100), ambazo Allah Ameyaandaa kwa ajili ya wanaopigania katika njia Yake (Ya Allah), na umbali kati ya daraja mbili ni umbali uliopo kati ya mbingu na ardhi.

Reference: ‌‌صحيح البخاري، كتاب الجهاد والسير، ‌باب درجات المجاهدين في سبيل الله، الحدیث 2790

Available in Other Languages