
Hadith #382
Swahili (Kiswahili)Haki za Muislamu juu ya muislamu ni tano: Kujibu salamu, na kumtembelea mgonjwa, na kusindikiza jeneza, na kuitika wito, na kumtakia rehma mwenye kupiga chafya.
Reference: صحیح البخاري، كتاب الجنائز، باب الامر باتباع الجنائز، الحدیث 1240