
Hadith #209
Swahili (Kiswahili)Ewe ibn Khattab (Umar), naapa kwa yule aliye mmiliki wa nafsi yangu, shetani anapokuona unatumia njia moja basi yeye hubadili na kutumia njia nyingine.
Reference: صحيح البخاري، كتاب أصحاب النبي ﷺ، باب مناقب عمر بن الخطاب، الحدیث 3683