
Hadith #359
Swahili (Kiswahili)Enyi watu! Kithirisheni kusalimiana, wasaidie wenye shida, imarisheni udugu, na msali nyakati za usiku wakati watu wamelala, mtaingia Peponi kwa amani.
Reference: سنن ابن ماجه، كتاب الأطعمة، باب إطعام الطعام، الحدیث 3251