
Hadith #349
Swahili (Kiswahili)Dunia imelaaniwa na kila kilichomo kimelaaniwa, isipokuwa utajo wa Allah, na kile kilichomkaribia; Mwanachuoni na mwenye kutafuta elimu.
Reference: سنن ابن ماجه، كتاب الزهد، باب مثل الدنيا، الحدیث 4112

Dunia imelaaniwa na kila kilichomo kimelaaniwa, isipokuwa utajo wa Allah, na kile kilichomkaribia; Mwanachuoni na mwenye kutafuta elimu.
Reference: سنن ابن ماجه، كتاب الزهد، باب مثل الدنيا، الحدیث 4112