
Hadith #323
Swahili (Kiswahili)Dua ya aina tatu hukubalika (hujibiwa) bila ya shaka yoyote: Dua ya mdhulumiwa, Dua ya msafiri na Dua mbaya ya mzazi kwa mwanae (ya kumuapiza).
Reference: جامع الترمذي، أبواب البر والصلة، باب ما جاء في دعوة الوالدين، الحدیث 1905