
Hadith #321
Swahili (Kiswahili)Akila mmoja wenu ale kwa mkono wake wa kulia, na anapokunywa anywe kwa mkono wake wa kulia, kwani shetani anakula na kunywa kwa mkono wake wa kushoto.
Reference: صحيح مسلم، كتاب الأشربة، باب آداب الطعام والشراب وأحكامهما، الحدیث 2020