
Hadith #380
Swahili (Kiswahili)Ajabu iliyoje kwa jambo la Mumin? Kila jambo lake ni jema tu, na heshima hii ya kipekee ni kwa ajili ya Mumin tu. Akipata lenye kumfurahisha, humshukuru Allah, basi likawa lenye manufaa kwake; na akipata madhara, huvumilia na hili pia likawa lenye manufaa kwake.
Reference: صحيح مسلم، كتاب الزهد والرقائق، باب المؤمن أمره كله خير، الحدیث 2999