
Hadith #364
Swahili (Kiswahili)Aaibike! Aaibike! Aaibike! Aliyewakuta wazazi wake, mmoja au wote wawili, wamefika umri mkubwa (wazee), ila kashindwa kuingia Peponi (kwa kuwahudumia vyema).
Reference: صحيح مسلم، كتاب البر والصلة والآداب، باب رغم أنف من أدرك أبويه...إلخ، الحديث 2551